nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka interface hapa kurahisisha. Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help Link ni...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

    Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa. Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte . kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nataka kuitembelea China

    Ni shauku yangu kufanya hivyo! Ikimpendeza Mungu, nitaenda huko mwakani. Lengo la safari ni utalii wa kuangalia fursa za kibiashara, hasa bidhaa zinazopatikana kwa wingi huko zinazohitajika sana Tanzania. Na, kama wasemavyo, "mwenda bure si sawa na mkaa bure", huenda katika hiyo ziara...
  6. Naantombe Mushi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  7. Mwiba1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kupiga chini huyu mwanamke

    Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Hello JF Kama kuna mtu anaweza kunisaidia abc za namna ya kuacha unywaji wa pombe anisaidie tafadhali maana kila nikijaribu nakaa siku mbili narudia...
  9. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga mbuzi naomba ushauri wa yafuatayo

    Habari, Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu. Namna ninayowaza ya kuwafuga ni kutafuta kijana wa hapo kijijini niwe namlipa 30k mwisho wa mwezi awe anawazingatia kwenye swala la...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niongezeke uzito?

    Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nataka niende Chato nikaiombe msamaha familia ya Hayati Magufuli

    Wakuu mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tulijitahidi kuipata elimu huku tukiamini kupata ajira aidha sekta binafsi au serikalini, lakini mambo yakawa tofauti ni miaka saba sasa imepita na wengine tumeshaanza kusahau hata tulichokisomea kwa sababu tuliamua kufanya mambo mengine nje...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Na Mimi nataka kuwa Mfalme wa hili Jukwaa la Michezo hapa kama GENTAMYCINE sijui nitaweza? Mniombee....

    Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
  13. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara za uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY na TIGO PESA

    Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba...
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena. Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
  18. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Nataka kuijua Vizuri wilaya ya Nachingwea

    Habarini wana Jamvi, Nina ratiba ya kwenda Wilaya ya Nachingwea kwa Kazi ya miaka kama miwili. Kwa wanayoijua vizuri naomba experience yenu kuhusu hii wilaya kuhusu fursa zilizopo, Aina ya maisha ya pale, Gharama za maisha kama malazi na chakula,sehemu nzuri za kupumzika weekend na kucheki...
  19. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga nyuki kisasa

    Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa. Niefikiria kuweka mizinga 200 ya kisasa ambayo kwa wastani nipate madumu ya lita 20 kama 150 kila ninapovuna. Mizinga...
  20. Chale david

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
Back
Top Bottom