Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience