Nataka kufanya check-up ya mwili mzima, je kuna madhara yoyote?

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,053
2,423
Habarini ndugu zangu.

Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani.

Ni hospital gani naweza pata hii huduma na pia Kwa aliyefanya atupe experience hua inakuaje.

Je, kuna madhara yoyote I mean side effects zake?
 
Huwa sielewi maana halisi ya neno check up ya mwili mzima

Me nachojua ukipima
Damu kwa ajili ya malaria
VlR yaani magonjwa ya ngono kaswende
Full blood picture
Sukari
Pressure
Na mkojo
Ukipima hivyo naona umeshamaliza check up ya mwili mzima

Kuhusu kansa,vidonda vya tumbo na magonjwa mengine labda mpaka uende na dalili
 
Na hivi vipimo vingine mfano kujua figo zako ziko vizuri au kupima kuhusu saratani au afya ya Ini inakuaje mkuu ?
 
Habarini ndugu zangu.

Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani.

Ni hospital gani naweza pata hii huduma na pia Kwa aliyefanya atupe experience hua inakuaje.

Je, kuna madhara yoyote I mean side effects zake?
Kwenye check up hupewi dawa sasa nini kitakudhuru?
 
Back
Top Bottom