natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  2. miss IQ

    JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri. Mimi...
  3. tzniceguy

    JamiiForums Tanzania Natafuta Housing/Case ya Hp Probook 440 G2

    Habari wana Home of Great Thinkers, Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo. Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
  4. Webbyllon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  5. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

    Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mjasiriamali anayetengeneza marashi (perfume) Arusha

    Habari, Nimejaribu google lakini napata wauzaji wa perfume tu. Natafuta wale wajasiriamali wanaotengeneza wenyewe perfumes Arusha. Whatsapp 0656388678.
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania ushauri kuhusu service provider mzuri wa internet - fiber

    habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi. nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
  8. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  9. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa computer mkoani Mwanza

    Natafuta mwalimu wa kufundisha kozi ya basic computer applications katika chuo kimoja jijini Mwanza. Kama una hii skillset karibu pm
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam. Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa; Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya...
  11. Tebajanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Television ya LG QNED85 miniLED 2022 inches 65 au 75

    Habari za leo wakuu. Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa. Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85. Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Dar

    Habari za majukumu wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hata mwenye mtoto

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 1. Ni msomi ngazi ya Bachelor Degree 2. Kazi yangu ni usafirishaji wa mizigo. 2.Dini ni mkristu. SIFA ZA MWANAMKE NINAYE TAFUTA 1. Awe tayari kuolewa. 2. Hata akiwa na mtoto ni sawa. 3. Awe dini yeyote. 4. Awe hajawahi kwenda jela au asiwe na jinai. Aliye...
  14. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  16. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta viashiria muhimu vya CCM kuanguka uchaguzi unaokuja na upinzani kushinda sivioni

    Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja. Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta Used Suzuki Maruti Omni

    Piga 0713 039 875
  18. makame clan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi

    Habari! Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested Mawasiliano. 0672650624
  19. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  20. mwali wa giningi

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Mashati ya shule (Tomato)

    Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
Back
Top Bottom