natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza HIV+

    Natafuta mwanaume mwenye hiv +, mwenye uelewa na afya yake na anatumia ARV. Aliyeserious tafadhali mengine tutajuana PM.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Habari Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi. Naomba kuwasilisha
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu. Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi PM au ni text kwa 0624942380. Nipo serious kwahili barikiwa sana kwa atakae jitokeza.
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  5. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  7. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  8. David16

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba

    Habari mimi ni dereva natafuta gari ya mkataba ili nijiajiri Ahsante, 0689296294
  9. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa printer Hp Laser jet pro MFP color 475dn

    Printer yenyewe ni hii hapa chini ni Hp Laserjet Pro 400 MFP colour 475dn pia na ku-refill uwino.Fundi huyo awe ni kutoka Mbeya
  10. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  11. la la land

    JamiiForums Tanzania Natafuta Clutch master cylinder ya Massey Ferguson 3085

    Wakuu, msaada tafadhali. Natafuta Clutch Master Cylinder ya Massey Ferguson 3085
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya hii mipapai

    Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa: 1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa 2. Majani yamejisokota kidogo 3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea...
  13. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (KE)

    Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26. NB; Uwe Dar. PM kwa ajili ya kupeana...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa uhakika wa Asali

    Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia...
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  18. Hackboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
  20. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
Back
Top Bottom