Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

Jun 21, 2021
29
23
Habari wakuu,.

Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
 
Habari wakuu,.

Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
Kuna nafsi ya kufundisha wanafunzi KIDT-VTC MOSHI-KILIMANJARO wa ufundi magari ,umeme wa magari na udereva, kama unaviweza hivyo tuwasiliane 0717157640
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom