Natafuta Television ya LG QNED85 miniLED 2022 inches 65 au 75

Tebajanga

Member
Sep 14, 2011
68
102
Habari za leo wakuu.

Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa.

Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85.

Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
 
Pia zingatia ni toleo la mwaka gani? Isijekuwa ni toleo ambalo limepitwa na wakati....
 
Check na Yahya electronics au fatma electronics_lgbrandshop majina yao ya insta huko.
 
Pia zingatia ni toleo la mwaka gani? Isijekuwa ni toleo ambalo limepitwa na wakati....

Nilishacheki, ninayotafuta ni ya mwaka 2022. Ya 2023 nimeiona kwenye site ya LG UAE ndo wanaanza kuiuza miezi hii.
 
Habari za leo wakuu.

Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa.

Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85.

Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
TV za LG kwa model hyo lazima uwe umejipanga mzigo upo inapatikana wap? Kama vp karibu napatikana Arusha

85inch - 8,500,000/=
75inch - 6,000,000/=
65inch - 3,500,000/=
 
Asante sana mkuu, nadhani hiyo 65 inches itakuwa nzuri zaidi.
Naomba unitumie picha niweze kuona.
 
IMG-20230913-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom