natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Natafuta mke kuoa

    NATAFUTA MKE WA KUOA. Jina Flavian. umri 34. Dini Mkristu. Kazi N/jiajiri. Kimo 5.3"ft. Uzito 66kg SIFA ZA MWANAMKE ANATAKIWA KUA. Umri 28-35 Dini Mkristu Kimo 5"ft Uzito 55-65 kg Awe amemalza mambo ya ujana.Awe anajali nakutambua thamani ya mume,awe...
  2. S

    Natafuta Toyota wish 7M

    Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  3. S

    Natafuta Toyota Brevis 5M

    Nataka kununua Toyota Brevis nina 5M mwenye nayo nipe namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  4. M

    Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  5. Izy_Name

    VFX, Modeling, na Archtecturing natafuta Ajira

    Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design. Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza kufanya kazi zinazo husiana 3D. Nina tumia Blender kwa ubunifu wa 3D, uhuishaji, na modeling. Nina...
  6. warzone

    Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  7. M

    Natafuta king'amuzi cha Azam

    NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
  8. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  9. Majumba saba

    Natafuta mume

    Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu Sifa zangu: 1. Ni mrefu kiasi wa cm 170 2. Nina rangi ya maji ya kunde 3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo 4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters) 5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa...
  10. F

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar. Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo. Nahitaji mtu ambae kama...
  11. complexi

    Natafuta kazi yoyote ili niweze kujipatia kipato

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye miaka 25 nipo Shinyanga, level yangu ya elimu ni shahada ya awali ya elimu katika masomo ya geographia na historiaa. Natafuta kazi yoyote ili niweze jipatia kipato iwe ndani ya nilichosomea au nje ya kada yangu maana uzoefu nilionao nimewahi fanya kazi katika...
  12. Brightly

    Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  13. Triple G

    Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Hello! Natafuta mkulima au mtu mwenye stock ya Soya beans ile ya njano kuanzia tani 3 anipe na bei elekezi. Nimeweka picha ya Soya.
  14. D

    Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  15. kipara01

    Natafuta kazi katika fani ya Kilimo

    Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
  16. StaceyD

    Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
  17. B

    Nimehamishiwa Dar es Salaam kikazi natafuta samani za ndani used(BUDGET TSH 1M)

    Bujeti yangu ni TSH 1M ninatafuta 1. Kitanda used bila godoro 2. Sofa zilizo kwenye hali nzuri 3. TV flat screen size yoyote 4. Friji used
  18. Nyanda Banka

    Natafuta kazi yoyote

    Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27. Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya elimu, kwenye elimu kiwango changu nilichofikia ni kiwango cha Degree na katika kozi ya ualimu (BAED)...
  19. R

    Natafuta mbia Mwenye Karasha

    Kama ujumbe unavyojieleza nipo north Mara,natafuta mtu ambaye anamiliki krasha tuingie naye share,eneo la kuchimba Niko nalo na dhahabu inapatikana ,aliyeko serious anipm
  20. tecknologia23

    Niliwahi andika natafuta mganga

    Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu. Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli...
Back
Top Bottom