natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mike2k

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Wadau hope mko poa, Kama mada inavyosema, natafuta mwenza wa kuanza nae mahusiono then badae tuje kuwa wamoja. Sifa zangu: Mrefu wa wastani, maji ya kunde. Nimeajiriwa Sekta Binafsi( Finacial Institution) Nina umri wa miaka 32. Dini ni mkristo. Kabila Mmasai. Sifa za ninae muhiji: Awe...
  4. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya umeme (Electric scooter) used

    Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani.. Itapendeza zaidi nikiipata dare salaam
  5. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi

    Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
  6. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa blending operator yaani uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi, vodica, value...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

    Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26 Ninaishi Dar es salaam Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI Nina certificate ya (Medical attendant) Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa. Naenda mkoa wowote kazi...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke. Nipo mwanza

    Nna miaka 33 natafuta mke awe miaka 24 mpaka 28. Angalau awe na elimu ya form fourna kuendelea. Dini mkristo. 0759123551
  9. IgKim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha (ualimu)

    Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja. 0622998765
  11. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

    Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta sumu au mtego wa paka pori

    Kuna paka ananitia hasara ya kula kuku na bata, kila nikimvizia kwa lengo la kumuua nashindwa. Je nitumie sumu au mtego gani ili afe?
  14. The only

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  15. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Natafuta old choir instrummental

    Wakuu kwa Sie wahenga miaka ya 87-95 kuna instrumental zilipigwa siku za vipaimara nk ni za Dini sina uhakika ila za mamtoni pls mwenye Nazo
  16. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mabanda ya Ufugaji Nguruwe Ya Kukodisha Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

    Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
  17. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utukutu wa mtoto wa ndugu yangu unanishinda, anafanya matukio kila kukicha, nifanyaje?

    Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza. Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa. Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam Nmeajiliwa Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa, Sifa awe na Umri kuanzia 20-28 Muislam Mawasiliano zaidi 0759565300
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kufungia mwaka

    Nina bajeti ya 6m natafuta kiwanja dar es Salaam kigamboni, madale. Kiwe kimepimwa. Nahitaji kufunga mwaka kwa kishindo.
  20. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi, baadaye mke

    Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi - Sio lazima Elimu - Form 4 na kuendelea Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
Back
Top Bottom