Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
634
Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32.

Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014.

Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA).

Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti.

Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari kutuma.

Natanguliza shukrani 🙏🏿
 
Kama huna kazi kwa sasa yaani uko mtaani nakushauri ufiche hiyo Masters Degree in Finance & Investment.

Instead tafuta kazi kwa kutumia Bsc Banking & Finance ili upate entrypoint kwenye ajira.

Utakapokuwa umepata kazi ya awali ndipo sasa utaanza kutafuta kazi zinazohitaji Masters huku kwenye CV yako ikionyesha uko mahali Labour yako inatumika.

Kwa kuomba kazi na Masters inakuwa vigumu kuwashawishi waajiri. Wanakuona kama wewe ni mtu wa manadharia na hujui kazi, wanakuona huna soko ndiyo maana una Masters lakini uko mtaani. Na HR wengine wanakuona wakikuajiri uyajifanya much know kwa kuwa una Masters

Fuata ushauri wangu, utanishukuru baadaye
 
Kazi ninayo Ndugu. Nimetumikia kwa miaka 7 sasa,Nahitaji kuongeza welding na maslahi. Asante sana kwa Ushauri.
 
Hii elimu nzuri na, kubwa, na, jinsi, ulivyo bado mdogo, tembelea pia kurasa za, mitandao ya, mashirika ya, nje, balozi, mfano, UNHCR, WFP, kule utapiga pesa, ndeefu sana, mwaka mmoja tu, utakuwa, unangaa kama Waziri wa, fedha, Mwigulu,
All the best bro! Mungu akufungulie njia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom