Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Habari wakuu,
Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR.
. Taa inawaka vizuri kabisa.
. Tatizo screen ndio haiwaki
.. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali
.N.K