naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshirazi

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

    Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu. kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Watu wa itifaki hapo Ikulu naombeni mpeni Rais wetu mapumziko sasa

    Rais wetu tunampenda sana, na kwa muda mfupi amechapa kazi sana tena iliyotukuka. Ila kama ilivyoada kwa binadamu wote, ukifanya sana kazi kuna wakati unachoka na mwili unahitaji mapumziko ya kutosha. Kuna video inasambaa kuke twitter imepostiwa kwa Maria Sarungi Ikimuonesha Rais Samia...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la Movie Hii

    Inazungumzia muuaji anayeua wanawake wenye nywele ndefu
  5. Citizen B

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Lumumba

    Sifa zangu: Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka. Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe. Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake. Naambatanisha kielelezo kimoja. Wako mtiifu.
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnielekeze nahisi wanataka kunitapeli

    Nimeona tangazo kwenye group flani la watsapp la fani tuliyosomea. kuna jamaa alikua anatangaza kua anaunga bando la GB 6 kwa week halotel na unamlipa baada ya kuungwa. sasa bwana nikamtumia namba yangu akaniambia kuna code zitakuja kwenye simu yako uzitume chap kwangu nikuunge. Code zenyewe...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya, Kahama ma Dodoma naombeni msaada wenu

    Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko mkubwa wa watu, sehemu biashara hiyo ya CD inatoka kwa wingi. Natarajia kufungua ofisi kubwa sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima kwa developer kujua kila component ya ide

    HABAR WADAU hope wote mpo poa Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
  10. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

    Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea. msaada wakuu
  11. Marvel the agency

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada jinsi yaku arrange blogu

    Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
  12. Cathy Diwani

    JamiiForums Tanzania Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

    Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mwanamke uume unasinyaa

    Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
  14. sam green

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

    Habari wanaJF, Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na...
  15. Home First

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

    Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili. Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili la Window 11

    Habari za muda huu. Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
  17. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni data kwa aliyepimwa na mlinzi akakutwa na korona

    Tangu ugonjwa wa korona uingie kuna maeneo mbalimbali kabla ya kuingia unapimwa na mlinzi kama hauna dalili za korona kwa kuangaliwa joto la mwili. nauliza haya maeneo kama bank maofisini shopping mall viwanja vya ndege, hivi kuna aliyegundulika na korona kwa kutumia kipimo hiki cha walinzi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni majibu murua

    Je sheria inaruhusu upande m1 kukata rufaa ikiwa kesi ya msingi bado inatakiwa kuendelea.
  20. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016. Hajapata haki zake zozote wakati halifanya kazi kwa muda mrefu, kwakua alilitumikia jeshi la polisi na...
Back
Top Bottom