Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,486
2,000
Habari wadau..!

Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?

Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi?

Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu?

Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,828
2,000
Habari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli???

Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi??

Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu??

Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
Mheshimiwa, achana na hizo fixed deposit bank, nenda UTT wekeza pesa zako huko, nenda tawi la CRDB wakupe maelekezo namna ya kuwekeza UTT, na kama uko Dar Nenda Sukari House Ohio, au PSSSF Dodoma, au Mwanza, Mbeya na Arusha. Lakni kama hauko sehemu nilizotaja zenye office za UTT, basi nenda CRDB wao ni kama agent wao. Kuna kitu kinaitwa Bond fund Investment, nadhani kitakufaa. Shukrani unipe baadaye
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,581
2,000
sijajua umetaja ukwasi ukimaanisha utajiri ama nini??iweje wahimize uwekezaji tena!!iko hivi.
1 mln kwa mwaka inazalisha kama 25k hivi.

25×5×5=625 kwahiyo kwa miaka mitano utavuna laki 6 na kitu.biashara kichaa kabisa hii.

hii inawafaa wenye mpunga mrefu ambao hawana kazi na pesa husika kwa wakati huo.
 
TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,486
2,000
10M unapata ngp for 5yrs?
Mheshimiwa, achana na hizo fixed deposit bank, nenda UTT wekeza pesa zako huko, nenda tawi la CRDB wakupe maelekezo namna ya kuwekeza UTT, na kama uko Dar Nenda Sukari House Ohio, au PSSSF Dodoma, au Mwanza, Mbeya na Arusha. Lakni kama hauko sehemu nilizotaja zenye office za UTT, basi nenda CRDB wao ni kama agent wao. Kuna kitu kinaitwa Bond fund Investment, nadhani kitakufaa. Shukrani unipe baadaye
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,288
2,000
Habari wadau..!

Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?

Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi?

Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu?

Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
Cc Extrovert
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom