Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JamiiForums, Sep 9, 2011.

1. JamiiForums

JamiiForums Official Robot Staff Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Nov 9, 2006
Messages: 4,899
Likes Received: 1,645
Trophy Points: 280
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeonelea ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.

Aidha, tunashauri usome maoni mbalimbali ya wadau kuweza kupata kujua wengine wametokaje kwa viwango hivi na unaweza kufikiria namna unayoona inafaa kwako. Tumejitahidi kupangilia posts humu kukurahisishia usomaji kwa ufanisi wako.

Asante

2. M

Malila JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Dec 22, 2007
Messages: 4,297
Likes Received: 530
Trophy Points: 280
Kama uko Dsm, nenda vijiji vya jirani katafute mayai ya kienyeji uuze.

3. Perry

Perry JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 9,935
Likes Received: 645
Trophy Points: 280

niko arusha joh.

4. BPM

BPM JF-Expert Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,765
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
nadhani ongeza sehemu za biashara uifanyayo kwa kuwa tayari una uzoefu nayo .. usikimbilie kuanzisha biashara mpya

5. u

ureni JF-Expert Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,070
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
Du kwa mtaji huo?ningeweza kusema ufungue shoe shine lakin hauta tosha,basi fanya hiv nenda JF saccos iweke hiyo hela ugenerate three time upate angalao laki 6 labda utaweza fanya kitu.

6. M

Malila JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Dec 22, 2007
Messages: 4,297
Likes Received: 530
Trophy Points: 280
Mitaji kama hii inahitaji biashara ya kupita mikononi, yaani ununue kwa producer na uuze kwa mlaji bila kukaa na bidhaa , ukishaanza kununua vitendea kazi vya biashara yako basi hutafika uendako.

7. Perry

Perry JF-Expert Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 9,935
Likes Received: 645
Trophy Points: 280

mkuu hyo biashara ya mikonon ndo me naitaka,nimeisha anza na vocha,naona haiko vibaya sana,so nataka kuzifanya za aina mbalimbali nctegemee ya aina moja tu.

8. Perry

Perry JF-Expert Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 9,935
Likes Received: 645
Trophy Points: 280

mkuu hyo jf saccoss ndo iko wap?

9. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#9
Sep 9, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 502
Trophy Points: 180
Uza bites..

10. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,711
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
hehehe aisee wewe unataka kumpotezea mwenzio hata hako ka laki 2 kake.

11. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 502
Trophy Points: 180

nataka niapply kazi ya upishi kwake..

12. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#12
Sep 10, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,534
Likes Received: 21,013
Trophy Points: 280
jaribu mama ntilie
ikikua fanya ki restaurant kidogo hivi
utashangaa

13. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#13
Sep 10, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,534
Likes Received: 21,013
Trophy Points: 280
kama una semu ya vocha,ongeza na juice baridi uone

14. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#14
Sep 10, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,711
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Halaf mshahara utoke wapi? kumbuka gross capital ni laki 2.

15. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#15
Sep 10, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,711
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Mkuu laki 2 akinunua madishi ya kupikia tu hela imeisha. labda mteja akuje na sahani yake mwenyewe

16. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#16
Sep 10, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,711
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Hii inaweza ikamtoa.

17. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#17
Sep 10, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 502
Trophy Points: 180

miezi miwili ya mwanzo nitajitolea.

18. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#18
Sep 10, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,534
Likes Received: 21,013
Trophy Points: 280
mkuu hakuna biashara duniani inayoanzishwa na mtaji kamili
anunue atakavyoweza vingine ataazima

19. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#19
Sep 10, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 502
Trophy Points: 180

we unapika kwenye madishi?

20. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#20
Sep 10, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 502
Trophy Points: 180
Senetor uza matunda.

Loading...