Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

Mkushi Mbishi

Senior Member
Sep 30, 2018
180
250
maxresdefault.jpg

Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea.

msaada wakuu
maxresdefault.jpg
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,502
2,000
Hutapoteza kitu, na key yenyewe kabisa kikawaida inauzwa tena bei ndefu. Home version tu inaweza cost kama 250,000
 

Mkushi Mbishi

Senior Member
Sep 30, 2018
180
250
Hutapoteza kitu, na key yenyewe kabisa kikawaida inauzwa tena bei ndefu. Home version tu inaweza cost kama 250,000
kwahiyo pc itakuwa inapiga kazi kama kawaida na hakutakuwa na mabadiliko yoyote?sasa itakuwa umuhimu wake ni nini mbona inauzwa bei kubwa hjivyo?
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,502
2,000
kwahiyo pc itakuwa inapiga kazi kama kawaida na hakutakuwa na mabadiliko yoyote?sasa itakuwa umuhimu wake ni nini mbona inauzwa bei kubwa hjivyo?
Bei sio kubwa mkuu, huko kwao ilipotengenezwa ni income ya mtu ya masaa kadhaa. Na ukinunua windows mara moja unakaa nayo mpaka unakufa. Alienunua win 7 2009, ame upgrade kwenda win 10 bure na anaruhusiwa pia ku upgrade kwenda win 11 bure. Miaka yote hio zaidi ya 11 unapata updates na service kibao bila kulipia tena.

Windows usipolipia utakuwa tu huwezi kubadili wallpaper na rangi za menu Ila utatumia kama kawaida. Na hio wallpaper Yenyewe Ipo Njia ya kubypass.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom