naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marcellojr

    JamiiForums Tanzania Customs questions: Wandugu naombeni mwenye kujua majibu ya haya maswali anipe majibu hapa jukwaani

    1. State the conditions that must be satisfied for temporary import to be exempt from import duty 2. Explain the necessary controls customs needs to put in place when administering export process 3. Outline conditions under section 99 eaccma 2004 dealing with loading and transfer goods...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

    Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje? Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au? Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

    Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda...
  4. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mafanikio gani yametokea baada ya Sensa ya 2012?

    Wakuu Rais ametangaza Sensa mwaka huu itafanyika mwezi wa nane,mara ya mwisho ilifanyika mwaka 2012 .Je kuna mafanikio gani yaliyotokea Kwa kuhesabu Sensa ya mwaka 2012? Lakini pia mwaka 1988 ilifanyika Sensa ya watu na makazi baadae ikafanyika mwaka 2002 , katika vipindi hivyo vyote vya kufanya...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

    Hivi kwa wanaofahamu let's say umeolewa na mzungu na ukapewa uraia wa Ufaransa na unaishi kule; so huku ndio inakuwaje na uraia wa Tanzania unaruhusiwa kuwa nazo mbili kwa wakati mmoja au inabidi uikane mmoja ubaki na mwingine? Tujuzeni wadau wa humu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa swali hili

    Anticipated Outcomes (What impact will the training have on performance?) Naombeni idea ya kujibu hapo, msaada
  7. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo

    Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu. Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki? Sasa mama wamtoto kamwambia baba mtoto nataka nikambatize mtoto Kikatoliki nanimeshampa jina. Shida ni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
  9. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

    Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha yangu ni kupaangalia pale paluvyo na kisha kutia ulimi mpaka najishangaa kwamba mimi siku hizi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

    Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla. Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini...
  11. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏 Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa Money Heist inatoka lini!

    La casa de papel inatoka lini wadau huwa naikubali sana
  13. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza naombeni msaada wenu

    Kwanza kabisa poleni na mihangaiko ya kutwa nzima ndugu zangu Dhumuni la kuwaita hapa katika uzi huu ni kuomba msaada wenu juu ya hili hitaji langu Nahitaji kifaa kinachotumika kuseti madishi maarufu kama SATTELITE FINDER Kifaa hiki kinauzwa katika maduka yanayouza ving'amuzi na madishi na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa kada ya Afya naombeni mje mnishauri

    Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate. Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano...
  15. Juicy J

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana. Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa...
  16. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Gh
  17. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni app za kuangalia mpira live

    Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
  18. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni filamu ya El Carpo au The Body ya 2012

    Naombeni hata link ya kudownload hii movie wadau au nitajieni website ipi nitaupata Huu mzigo maana nimetafuta kimoitv, netnaija na nkiri.com kote huku hakuna itapendeza zaidi ikiwa english subtitle
  19. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na masomo, naombeni kazi

    Habari wana Jf, Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza. Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
Back
Top Bottom