naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuzungumzie fursa za kutengeneza pesa ya uhakika kwa internet nje ya vitu kama forex, kubeti na michezo ya upatu

    Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k. Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
  2. Phantom Kunai

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila kwa hili naombeni maoni

    ....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
  4. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Nimebuni wazo la kufanyisha mtihani watoto online naombeni support yenu. Ninao Walimu wa uhakika

    TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee. Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  7. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  8. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu nimekwama pakubwa. Naombeni mnisaidie

    NAOMBENI MSAADA WAKUU. Natanguliza shukrani. Habari ya Weekend? Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5. Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana. NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA. Kufika home kwenye PC...
  9. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Tusaidianeni kwa hili

    Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini? Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  13. desmond3076

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi ndugu wanasheria

    Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
  14. chongoe

    JamiiForums Tanzania naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

    nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
  15. SACO

    JamiiForums Tanzania Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi/ kibarua

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  19. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  20. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa retail prices za mabati kwa guages na size tofauti

    Wakuu kwema, Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
Back
Top Bottom