naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Naombeni nipokeeni

    Habari zenu watanzania wenzangu. Kwa jina naitwa mangi shangali,Leo hii nimejiunga na jamii forum,mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote Tanzania,naombeni mnipokee. Pia naombeni mnipe muungozo ulio sahihi ili kuepusha ugomvi na watu humu. Natanguliza shukrani kwa uongozi wote wa jamii forum...
  2. Ngarumbe

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Watanzania wenzangu

    Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea. Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine. Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote. Nipo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni bei za viwanja na heka Morogoro

    Wakuu kama mada inavyosema naombeni Muongozo tafadhali bei za viwanja na heka .
  5. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

    Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A. Umri wangu ni miaka 24 Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa? Na Kama nikienda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki. Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli...
  7. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

    Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
  8. Mageuzi92

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

    Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni ngoma ya zamani ya Bugz Malone ft D Rob

    Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
  10. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo

    Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu. Tizita
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki Kwa wajanja janja wa huu mkoa nina akiba ya 500K naweza kufanya mishe gani kwa kipindi cha mvua ila tu isiwe kilimo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  13. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  14. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  16. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  17. Risk manager

    JamiiForums Tanzania NAOMBA USHAURI: Siipendi na siifurahii kazi ninayolipwa vizuri

    Habari zenu. Iko hivi Kuna muda naweza nikawa naifanya kazi fulani ingawa nalipwa vizuri Ila Sina furaha kabisa pamoja kuwa nalipwa hela nzuri kulingana na mishahara ya hapa tz. Sasa bwana Kuna kazi nikiwa nalipwa kidogo ama hata nisipolipwa nakuwa naenjoi kinyama mno yaani mno kuifanya.yaani...
  18. SideMakini

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
  19. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi. Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Naombeni template ya payroll audit report

    Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
Back
Top Bottom