INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,308
14,207
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji wote
Screenshot_20221031-214136.jpg
Screenshot_20221031-214908.jpg
 
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji woteView attachment 2403346View attachment 2403352
Dah...hii movie ilikuw ni balaa........sijui ilikuwa utoto bado unaniendesha au la...

Lakini ilikuwa inanitisha sana

Mkuu naweza kuipataje hio movie.....??
Iwe kwa kudownload au kununua cd
 
Back
Top Bottom