naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  2. NetMaster

    Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  3. desmond3076

    Naombeni ufafanuzi ndugu wanasheria

    Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
  4. chongoe

    naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

    nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
  5. SACO

    Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
  6. GENTAMYCINE

    Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  7. GENTAMYCINE

    Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  8. B

    Naombeni kazi/ kibarua

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  9. SaulGoodman

    Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  10. G-Funk

    Naombeni kujuzwa retail prices za mabati kwa guages na size tofauti

    Wakuu kwema, Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
  11. Natafuta Ajira

    Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  12. GENTAMYCINE

    TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  13. M

    Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
  14. Natafuta Ajira

    Wazoefu naombeni mwongozo

    Ni matumaimi yangu wote wazima. Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi basi ile kibishi bishi unaweza ukawapiga kalenda wakwe kwa muda gani? Huyu binti siku moja...
  15. Cactus_assa

    Naombeni msaada tafadhari

    Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
  16. NetMaster

    Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  17. E

    Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  18. Myahudi Jr II

    Watabe wa Physics naombeni msaada haya maswali chap chap, sijiamini na majibu

    Note: Swali la 3 nishagugo nikapata
  19. Ngareroo

    Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

    Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha.. Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team...
  20. R

    Naombeni kufundishwa kuandika assembly language in 8086 Trainer kit

    Habar wakuu Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje Shukran
Back
Top Bottom