desmond3076
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 277
- 180
Ndugu wanasheria salaam,
Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili,
Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi, enzi ikiwa pspf Hadi ilipokuja kuunganishwa na kuwa psssf ,nazani 2018, mama aliendelea kupata pension ya kila mwezi Kama kawaida,
Mnamo 2020 August 30, alifariki dunia ,
Katika document zake aliniandika Kama mrithi yaan survivor,Sasa ndugu walipoenda kufatilia waliambiwa Inabidi ataftwe yule alieandikwa, ndipo nilipotaftwa,kwa ajili ya kuona Kama Kuna haki zozote za madai kwa huyu marehemu katika mfuko huo au ndo imeisha hivo hayo mafao ya warithi hayatakuwepo Tena?
Basi nimeona nililete hapa jamii forum ,nipate msaada najua humu Kuna wajuzi wa Mambo,.
Na huyo mtumishi Ni marehemu mama, alikuwa mnufaika katika mfuko huo Hadi mauti ilipomfikia.
Cheti Cha kifo nnacho , na muhitasari wa ukoo Kama msimamizi wa mirathi nnao, na mahakama ilishaniteua kua msimamizi wa mirathi ya marehemu mama.
Sasa naombeni kujua Sheria zinasemaje iwapo tunaweza kudai haki yake , sisi Kama survivors , au Basi alivokufa ndo Mambo yaliishia pale, baba yetu yeye hayupo tumebaki watoto tu na Mimi ndie kijana mkubwa ,
Naombeni kujua , maana Hadi Sasa Ni miaka 2 tangu mama afariki, na sisi Mambo ya Sheria hatuyafahamu, kuhusu huko psssf
Natanguliza shukrani wewe utakayesoma na kuweza kunisaidia walau nipate mwanga wa Jambo hilo
Mimi desmond