MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

Mngurimi

JF-Expert Member
May 27, 2020
819
789
Ndugu, habari za wakati huu.

Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k

Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua.

Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya uendeshaji na faida au hasara zake.

Naomba kuwasilisha.....
 
Zile mashine haziuzwi zinatolewa bure baada ya kukamilisha vigezo vya kuwa wakala ambavyo ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba ukiambatanisha passport mbili,barua ya utambulisho toka ofisi ya serikali za mitaa na wazamini wawili ambao wataandika barua za kukudhamini cha ziada na muhimu na nakala ya vitambulisho ukikamilisha utapeleka katika ofisi husika unayotaka kuwa wakala wao...

Kuhusu malipo u analipwa 8% ya mauzo uliouza kwa sikuu

Ila Hao premier wamekuwa wezi kama unataka wazuri kwa sasa ni Gal sport
 
Nashukuru kwa msaada wako

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom