MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu.
Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na Kuniambia kuwa nikosee Kote ila nisije Kuthubutu kuja Kuoa Askari Mwanajeshi lakini katika Kuwabandua tu na Kusepa haina shida.
Nilipomuomba anipe sababu hasa Jibu aliloniambia ni Kuniuliza je, nina Moyo wa Ujasiri wa Kupokea sababu zenyewe kwani zinahitaji Ukakamavu wa Kimedani kuzipokea, kuzivumilia na kuishi nazo.
Hivyo nimesitisha mpango wa Kumpenda huyu Askari Jeshi wa Kike hapa nchini Malawi na sasa nataka nikirejea Likizo Tanzania nitafute Askari Jeshi wa Tanzania nikiamini hawa hawana Mapungufu niliyofichwa kama ya Wenzao wa Malawi kutokana na kwamba Afrika nzima Jeshi lenye Maadili na halina Upuuzi ni la JWTZ tu.