Omutontozi
Senior Member
- Nov 12, 2021
- 122
- 213
Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe
Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani
Mwana+jeshi=Mwanajeshi
Sasa basi hapa Tz tuna majeshi mbalimbali kila jeshi na majukumu yake yaani Jwtz,polisi,Magereza nk
Katika hali hiyo utakutana na Mwanajeshi wa Jwtz,Mwanajeshi wa jeshi la polisi,Mwanajeshi wa jeshi la Magereza nk (Hawa wote ni wanajeshi)
Elewa kwamba hakuna utambulisho wa askari KATIKA jeshi lolote wa kuitwa mwanajeshi bali wote katika Majeshi yote huitwa "ASKARI"
ISIPOKUWA askari hawa huko majeshini kwao hutenganishwa kwa kuitwa MAAFISA/ASKARI
Kwa maana Maafisa ni wale wenye single star na kuendelea
Na askari ni wale wenye kuanzia Private/constable/wdr mpaka RSM kama sijakosea
Nahitimisha kwa kusema kwamba majeshi yoooote yana askari
Na majeshi yoooote yana Wanajeshi wake.Naomba kuhitimisha mwenye swali karibu sana
Kwa msaada zaidi unaweza kusoma katiba Ibara 147 na ibara zake ndogo zote