naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  2. kacnia

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

    Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine. Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne. Natanguliza...
  3. Digital base

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
  5. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  7. Thailand

    JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  8. Thailand

    JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  9. Magnifico999

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo, dhamana ni nyumba iliyo Mzumbe, Morogoro

    Habari wana jf, nimekuja kwenu Nina uhitaji wa mkopo Nimejaribu kwenye taasis nmekosa, nina dhamana ya nyumba ipo morogoro mzumbe, nahitaji tsh million 3 naweza kurejesha ndani ya miezi miwili mpaka mitatu kulingana na riba, ukiweza kunisaidia contact 0677982592.
  10. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika. Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Habarini wanajanvi, Moja kwa moja kwenye mada, Naomba mawazo yenu lakini yawe ya kujenga. Mimi ni mfanyakazi wa kuajiliwa kwa miaka mingi na natarajia kustaafu Mwenyezi Mungu akipenda miaka 5 ijayo, nina mke na watoto sita kati yao wanne wamemaliza chuo kikuu, Kwa miaka yote ya kufanya kazi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuremba kwa gharama kubwa makaburi ya wapendwa wetu?

    Kuyaremba ninakomaanisha hapa ni kuyaweka nakshi nakshi za kila aina, Mbwembwe nyingi, kuyapiga Picha na Kuwaringishia Watu Mitandaoni mpaka kutaka hata kuyawekea Taa na AC ndani yake. Na kinachonishangaza na kuniachia Maswali mengi ni pale ninapoona Msiba fulani Kaburi linafanyiwa Mbwembwe...
  14. Carleen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliooa huwasiliana na marafiki zao wa kike wiki chache baada ya ndoa?

    Merry Christmas Dears, Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

    Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH! Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
  16. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA TU KUELEMISHWA JUU YA FEDHA ZINAZOTOLEWA NA MHE. RAIS KATIKA MIRADI MBALIMBALI

    Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya kumdhamini mtu mahakamani

    Nimemwekea mtu dhamana Mahakamani, je, anaruhusiwa kusafiri?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree. Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma. Niko morogoro Nikisema haramu...
  19. David Mgeni

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tafadhali

    Wakuu kwema samahani naomba kuuliza kuna vifaa vya michezo huwa vinakanywaga miguuni unavicontrol kwa miguu miwili vina matairi mawili ni kama skate board lakini vinatofautiana kwa anaevijua naomba jina lake rasmi la kiingereza na picha pia
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida wanayopata NBC

    Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao. Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu...
Back
Top Bottom