Naomba kujuzwa bei halisi ya Vanilla kwa kilo

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,106
173,889
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.

Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
 
Tafuta soko kwa kasi ya 4g mkuu. Kilo moja tu ukiuza unanunua kiwanja
Screenshot_20211212-103523.png
 
Soko halieleweki yani ila nataka nijaribu Kenya au Uganda
Hatuwezi kushirikiana kaka??... Sababu pia mimi ninahuo mkakati, na nilikuwa nimeanza kufanya research kwa kiasi chake ninataarifa kuhusu vanilla pia nina watu wachache wenye uzoefu wanaweza toa taarifa kama ukihitaji darasa
 
Back
Top Bottom