Naomba kujuzwa mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa EA hatutaweza kuyamudu?

How tujuze ndugu,mwenye uelewa atujuze Kwa kina,Kwa nini wachimbaji wasifunge mtambo huo
Mafuta siyo yetu. Hatuna uwezo wa kuyachimba. Uganda wameingia mkataba. Kimsingi ni kama wamekwisha yauza tayari yakiwa bado chini ardhini. Tukitaka kuyatumia inabidi tununue kwa kufuata utaratibu. Uganda siyo nchi ya kwanza Afrika kuchimba mafuta. Nigeria wanatoa mafuta mengi sana. Lakini cha ajabu kuna wakati wanakumbwa na uhaba wa mafuta. Na zaidi nikuambie wanatumia pato kubwa kabisa la taifa kuagiza mafuta kutoka nje. Hebu soma hii link kama lugha ya malkia inapanda. Nihitimishe kwa kusema kwangu mimi nchi ya kiafrika ni bora isiwe na mafuta kuliko kuwa na mafuta. Hata hii sijui gas ya Mtwara tunayoambiwa haitatusaidia sisi. Sana sana itasaidia wale wanasiasa wanaoingia mikataba mibovu na kupewa ''fungu'' huku wananchi wakibaki maskini.
 
HUU NI UPUMBAVU KABISA WA BAADHI YA VIONGOZI WA AFRICA.
NI #LAANA.
 
Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
Unaongelea mafuta na mipango kibao ya mafuta utafikiri nawe unahusika na hiyo miradi ya watu, acha ujinga.
Mtu kaanzisha mradi wake wewe unawaza kwenda kuyanunua, kwani umeambiwa yanauzwa?
 
Mafuta siyo yetu. Hatuna uwezo wa kuyachimba. Uganda wameingia mkataba. Kimsingi ni kama wamekwisha yauza tayari yakiwa bado chini ardhini. Tukitaka kuyatumia inabidi tununue kwa kufuata utaratibu. Uganda siyo nchi ya kwanza Afrika kuchimba mafuta. Nigeria wanatoa mafuta mengi sana. Lakini cha ajabu kuna wakati wanakumbwa na uhaba wa mafuta. Na zaidi nikuambie wanatumia pato kubwa kabisa la taifa kuagiza mafuta kutoka nje. Hebu soma hii link kama lugha ya malkia inapanda. Nihitimishe kwa kusema kwangu mimi nchi ya kiafrika ni bora isiwe na mafuta kuliko kuwa na mafuta. Hata hii sijui gas ya Mtwara tunayoambiwa haitatusaidia sisi. Sana sana itasaidia wale wanasiasa wanaoingia mikataba mibovu na kupewa ''fungu'' huku wananchi wakibaki maskini.
Kina chief Mangungo Afrika kamwe hawatoisha kila siku wanazaliwa wapya.
 
Inatakiwa pawe na oil refinery ya mafuta kwenye njia ya bomba mfano Tanga, Kagera, Manyara, Tabora Tupate petrol, diesel, mafuta ya taa, lami, plastic, na chemical zaidi ya 1000 toka kwenye mafuta.

Ila gharama yake imechangamka. Kuanzia trillion 15+
 
Refinery ya economies of scale inaanzia dola bilioni kumi pesa ambayo serikali haina uwezo huo kwa sasa
 
Hakika

Maana tayari teknolojia ya magari ya umeme tayari imefanikiwa tena kwa kiasi kikubwa sasa vipi miaka ijayo?
Tayari akina elon musk wameshafanikiwa. Na jamaa anataka kuleta gari la bei nafuu pia musk anataka kuleta semitrailers za umeme. Apple wanaleta gari la umeme. Tayari kuna canter ya umeme. Bado Toyota anasema ataleta gari nyingi za umeme za bei nafuu. Rolls-Royce wameleta ndege za umeme. Yaani sehemu zote wanaleta magari ya umeme. Yaani matumizi ya mafuta yatapungua mno huko mbele.
 
Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
Halafu reserve iliyopo inatosha kwa miaka 25 tu.
 
Nilikuwa natafakari tu binafsi je Mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa afrika ya mashariki na kati na pengine kusini yatatuzidi Kwa wingi kimatumizi?endapo tutaamua tuwe tunanunulia Uganda Mafuta yetu badala ya huko ughaibuni.
Ndio uzito wa fikra za Hawa viongozi badala ya kujenga refinery wanaexport na baadae wataimport kwa Dola aiseee very wonderful
 
Mafuta siyo yetu. Hatuna uwezo wa kuyachimba. Uganda wameingia mkataba. Kimsingi ni kama wamekwisha yauza tayari yakiwa bado chini ardhini. Tukitaka kuyatumia inabidi tununue kwa kufuata utaratibu. Uganda siyo nchi ya kwanza Afrika kuchimba mafuta. Nigeria wanatoa mafuta mengi sana. Lakini cha ajabu kuna wakati wanakumbwa na uhaba wa mafuta. Na zaidi nikuambie wanatumia pato kubwa kabisa la taifa kuagiza mafuta kutoka nje. Hebu soma hii link kama lugha ya malkia inapanda. Nihitimishe kwa kusema kwangu mimi nchi ya kiafrika ni bora isiwe na mafuta kuliko kuwa na mafuta. Hata hii sijui gas ya Mtwara tunayoambiwa haitatusaidia sisi. Sana sana itasaidia wale wanasiasa wanaoingia mikataba mibovu na kupewa ''fungu'' huku wananchi wakibaki maskini.
Aliko dangote kashajenga tayari miongoni mwa biggest crude oil refinery duniani. Ipo top 10 among bigger oil refinery in the world sio mda wataanxa kuyachakaka wenyewe. Nchi kibao Africa mbona Wana oil refinery
 
Back
Top Bottom