Naomba Jina zuri la Biashara ya CHAKULA

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery.

Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja.

Kwa vile najua humu JF ni wajuvi wa mambo. Naomba mtusaidie jina la biashara.
 
Diko Freshi
 
“HEAVENLY EATS” kama mnataka lisound kishua!

“Diko Freshi” kama mnataka liwe audience wa kawaida!
 
Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery.

Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja.

Kwa vile najua humu JF ni wajuvi wa mambo. Naomba mtusaidie jina la biashara.
Upo mkoa au mji gani?
Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora unaweza kuita HOTEL GHULYA GHUNOGA....HOTEL KULA HADI KUCHOKA🤣
 
Back
Top Bottom