Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

Huku njoo baada ya kupata kazi BRELA. Utashauriwa wapi na jinsi gani ya kutumia mshahara wako. Pengine ukapata hata wa kutumia nao.
Tofauti na hapo utaambulia majibu ya shombo tu kwa sasa. Huku lete mada za kufumaniwa, kufinyiwa ndani, style mpya ya kunyanduana n.k
Unamjua Liverpool VPN Mzee wa "USIOE USIOE"?

#YNWA
 
Wajumbe salama?

Nimekua nikitafuta Taarifa juu ya MISHAHARA ya BRELA.

Katika kutafuta kwangu nikasoma sehemu kwamba BRELA kwenye mishahara wanafanana na Halmashauri...!!!

Kwa entry level ya Bachelor ya 3 Yrs...
1. Registration Officer II
2. License Officer II
3. Legal Officer II
Mshahara = BRS 6.1 (BRELA) = TGS D.1 (Halmashauri) = Basic Salary = 750,000/=

1. Kuna ukweli wowote kwamba zile BRS level ni sawa na TGS levels?
2. Kama ni uongo, Je ukweli ni upi?

#YNWA
Jinsi tukiwapigia wanaongea kwa hasira vile watakua wanalipwa pesa ndogo.
 
Back
Top Bottom