naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chawa wa chuma

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba ufafanuzi kwenye hili tukio

    Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo: Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

    Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki. Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge...
  3. McCollum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba usaidizi kwa mtu ambaye ana article ya investigative story anisaidie

    Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika...
  5. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya haya maneno yanayotumika sana uswazi

    Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
  6. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nisimame na Baba Mzazi au wa kambo?

    Habari Wakuu, nakuja mbele yenu kuomba ushauri, japo nimepata shauri mbalimbali za hapa na pale kwa watu wa karibu na wa mbali niliowahi kukutana nao. Nianze na historia yangu kwa ufupi. Nilizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Mama alizalia nyumbani kwao wakati bado ni mwanafunzi, haikua rahisi...
  7. Egibert emily

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi. Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria). Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama. Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Je Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
  10. B4g3g3

    JamiiForums Tanzania Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu associate

    Wakuu naomba anayeelewa kuhusu associate degree anifahamishe na inaweza kuwa equivalence na level gani ya elimu kwa hapa Tanzania.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye hp printer drivers naomba, au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer

    Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

    Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema? Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span? Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo. Na nikiwatazama...
  15. Graphics

    JamiiForums Tanzania Ni application au program gani kutengeneza video Kwenye android:

    Ni application au program gani kutengeneza video Kwenye android?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dah

    Dah mitaa Fulani, muda huu naona mke wa mtu ana ingizwa logde na jamaa. #. Kataa ndoa # fear woman
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Ni ni maana ya kula kimasihara? Ndo ipo vipi iyo.
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

    Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania. Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania. Hapa nchini watakuwa...
  19. mandawa

    JamiiForums Tanzania Naomba wakristo tuungane kumpinga mchungaji Masisi

    Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia. Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
  20. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha

    Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). Msaada tafadhali ndugu zangu.
Back
Top Bottom