naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

    GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
  3. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kwa siku angalau 5,000. Naishi Dar es salaam, Najua kutumia Kompyuta vizuri sana, Elimu...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata orodha ya taasisi zote, mamlaka zote, Asasi za Kiraia, Non profit Organizations na Vyama mbalimbali?

    Habari za maisha wakuu, Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia. Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya makampuni ambayo ni rahisi kuingia nayo katika busines venture!

    In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu, Je venture, au...
  6. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu deni langu lililobaki Loans Board

    Wakuu, nilikua na mkopo wa heslb kama 13m hivi, nimelilipa wee mpaka limebaki 2.8m, sasa naona linanikera tu coz haliishi pamoja na juhudi zangu za kulipa nilizonazo. So nafikiria kutafuta hiyo balance yote iliyobaki kutoka vyanzo vingine vya mapato nilipe hilo deni then mimi nibaki nadaiwa na...
  7. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

    Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi... 1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana wapi dar au nyanda za kusini.. 2:- Kama zipo kampuni gani ni bora na imara...?. 3:- Gharama zake...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  9. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya gold kwa gram kwa hii pete na hereni zake inaweza kuwa sh. ngapi?

    Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya. Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf...
  10. Marcy

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu

    Position ya afisa tehama vyuo vikuu inamaslahi gani? ukilinganisha na wale waliopo kwenye halmashauri ?
  11. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Naomba Maelekezo jinsi ya kufika shule ya Ahmes

    Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc. Mimi natokea Ukonga
  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Wana IT naomba msaada

    Nishawai kupigiwa video call nikapokea sura alikuwa mh.Joket kweli kwenye screen nilimuona kwa macho yangu. Ila sasa huyu ni tapeli anayesumbua uko facebook watu wanalia sana make mtu akishaonda video call tiyari anaamini kabisa. But nasikia kuna program ambayao unaweza weka sura ya mtu...
  13. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  14. Saidama

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi nani aligundua hela na ulikuwa mwaka gani?

    Naomba ufanunuzi kidogo hapa maana labda sielewi hii hela imekujaje kwa ulimwengu.
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati ya Nyota na maarafu(Star/famous)

    Naomba tofauti hapa na mifano ili nipate elimu wanajukwaa
  17. G

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA TOFAUTI ZA KOZI ZA MASTERS ZIFUATAZO.

    Habari wana JF Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

    Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili. MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  20. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
Back
Top Bottom