Msaada: Naomba usaidizi kwa mtu ambaye ana article ya investigative story anisaidie

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
207
453
Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie

Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua

Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa...

Asante
 
Pascal Mayalla msaidie huyu kijana.
Mkuu Unavoidable Servant , asante kuni tag
Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie

Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua

Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa...

Asante
Mkuu Dalton elijah , mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea ambaye nina uwezo wa kuandika IJ ila nimejikita kwenye kuandika developmental stories.

Nimefanya baadhi ya IJ za TV Documentaries ila nomezihifadhi kwenye. Library yangu.

Naweza kukupa muongozo kwa kutolea mfano ile issue ya Makonda kufoji vyeti

Kwa humu jf nimeandika series nyingi za IJ zikiwepo series kibao za Makinikia, Kilio cha Haki, IJ kibao za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, JPM na sasa Samia.
P
 
kuna Somo Linaitwa Data Journalism
Naona Kama Linanipekea Moto Sana
Najaribu Kutafuta Article Wapi

Labda Saiz Nipambane Na Article Za Kiingereza Naweza Pata
 
Nashukuru Kwa Hilo.Mimi Ni Mwanafunzi Nasoma Print Ila. Nimejikita Kwenye Data Journalist Na Investigative
Sasa Kuna Kazi Nilikuwa Nafanya Nukashindwa Kidogo Ndo Maana Nikaomba Usaidizi
You can share it private I can help out, ila kitu muhimu kuliko kitu chochote is your life and your safety!. Usifanye IJ yoyote ili tuu uonekane your brave, but you jeopardize your life, no news is worth ones life!. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
 
Back
Top Bottom