Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

Egibert emily

Member
Nov 10, 2018
5
7
Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi.

Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria).

Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama.

Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote kwenye biashara hii ikiwemo (capital, profit approximation, possible challenges, ways to curb challenges etc) na ushauri mwingine wowote tu katika maisha ili niwezekujikwamua kiuchumi.

Asante
 
Uji kama Uji?
Kamata dada yeyote maeneo hayo au maeneo ya jirani anayeuza uji mwambie akwambie uzoefu wake, changamoto n.k
 
Yaani msomi na usomi wako ukafanye kazi za kidemu hio elimu imekusaidije!
 
Back
Top Bottom