naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baby seky

    JamiiForums Tanzania Naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu. Kazi ambazo naweza kufanya Utunzaji stoo Mapokezi Mauzo (sales officer) Napatikana Kibaha, Pwani.
  2. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Unahesabu vipi kupata namba ya siti kwenye basi?

    Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar kwa mfano tiketi yangu n siti 5 jinsi kuihesabu nakubuka nliwahi pewa siti nlipofika Mimi nkatafuta tu palipo andikwa Kama n 7 naitafuta Sana tu ilipo nakaa lakn nliambiwa sio hapo ndio nimeomba leo nipewe...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

    Heshima zenu doctors mliopo JF, Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani. Natanguliza shukrani.
  4. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

    Heshima kwenu. Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie. Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo. Asanteni.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  8. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe mbinu za kuingiza hela kupitia lugha pendwa ya Kiswahili kwa mtu mwenye taaluma ya ualimu wa Kiswahili

    Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Bank NMB wamenikata hela yote kinyume na makubaliano, nifanyeje?

    Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki. Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

    Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji. Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

    Habari wakuuu! Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae. Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya taa hizi

    Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza?

    Ivi kwanini watu ambao labda umesoma nao au mmejuana zamani ivi mkapoteana wana tabia ya kuomba namba then wanapotea tena au hawakutafuti? Wanaomba namba ya nn? Au ndo hii salam mpya Km Hamna la kuongea basi kujifanya nitakutafuta then hata akikutafuta one or 2 message uyo humuoni tena😳😳😳 Sasa...
  16. Half american

    JamiiForums Tanzania Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi. JamiiForums Moderator Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa. kila la heri wananchi 💚💛
  17. Okrap

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine. Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa. Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
Back
Top Bottom