Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,038
45,611
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?

Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?


Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo.

Na nikiwatazama classmates na agemate wangu niliokuwa nafanya nao umalaya wamezeeka wote yaani they are looking older than their real age.

Jambo nataka kujua maana Kuna dada ambao hawaendekezi ngono waliolewa Wana miaka 30 lakini wapo vizuri lakini Kuna wadada Mika 20 Kama wazee kimuonekano nazungumzia wale wanozagamuliwa Sana.

Majibu tafadhari.

Pia mzee wangu ni smart Sana tangu akiwa kijana na ana miaka 70+ sio mtu wa Wanawake anabeba madumu mawili ya Lita 20 ya maji bila shida na yupo vizuri hatumii miwani na meno anayo yote Hana mkwaju Wala Nini so kanambia ili nitoboe bila magonjwa nabidi kukaa mbali na ngono so this is real?
 
IMG_5262.jpg

Nina miaka 20 nimeanza ngono darasa la kwanza
Ngono inazeesha acheni NGONO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom