Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu.

Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
 
1. Ndo mara ya Kwanza kwenda nje ya nchi? Ushamba mzigo.

2. Ukiwa na App popote unafanya miamala ikiwa utapata internet.

3. Safe travels, Dada.
 
Inawezekana sana,
Ila hautaweza kutoa fedha kwani hakuna Wakala wa mpesa huko nje
 
1. Ndo mara ya Kwanza kwenda nje ya nchi? Ushamba mzigo.

2. Ukiwa na App popote unafanya miamala ikiwa utapata internet.

3. Safe travels, Dada.
Asante japo hiyo comment no.1 sikuipenda nimeimezea tu. Thanks mate!
 
1. Ndo mara ya Kwanza kwenda nje ya nchi? Ushamba mzigo.

2. Ukiwa na App popote unafanya miamala ikiwa utapata internet.

3. Safe travels, Dada.

Ukiwa hauna app pia unaweza kufanya miamala cha msingi laini iwe inasomeka ie,roaming
 
Back
Top Bottom