Naomba nisaidiwe hili swali langu

Moh hives

New Member
Jul 15, 2023
2
0
Habarini wote.

Samahani mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana 2022. Nikachaguliwa chuo cha udsm lakin kutokana na matatizo ckufanikiwa kwenda kusoma.

Nikaomba wanicancell ili niweze kuomba tena mwaka huu....lakin tatizo linapokuja kuna baadhi ya vyuo nikiomba kinakubali ila chuo cha muhas kinaniandikia applicant details is found in prior list" apo ni katika stage one tu ya kucreate acc ....nashindwa kuendelea sabab inagoma.

Je, nifanyaje ili niweze kuapply vizuri?

Naomba msaada
 
Back
Top Bottom