Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti.

Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
Army corps wanadili na opereshen za ardhin tu lkn marine corps wenyew wanadili na opereshen za majin na angan

Kipind hicho nipo kwenye ubora wangu niliwah hudumu marine
 
Corps za Marekani ni sawa na Wagner ya Putin. Ni makundi ya private serikali ya Marekani inayatumia ikizidiwa vitani! Be informed.
 
Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti.

Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
Ni sawa na nevi na anga kwa hapo bongo.
Hapo jeshi la maji na jeshi la nchi kavu.
Mi ndo naewa hivyo
 
Pambana kwanza ujue bandari inauzwa ama lah, ya watu baadae.

Back
Top Bottom