naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

    Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones). Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia. Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
  5. JamiiForums Tanzania CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

    Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili michezo ya bahati nasibu

    Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
  8. JamiiForums Tanzania Naomba support kwenye mradi wangu

    Habari za wakati huu wana Jamii Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya Green Energy, pamoja na usafi wa mazingira. Ambapo tutatumia taka (organic waste) kuweza kuzalisha...
  9. JamiiForums Tanzania Mkitoka Kanisani, Naomba Mtupe Elimu ya Hizi Alama

    Angalia kwa hao black deacons around the neck hizo alama tatu zina maana gani?.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

    Habari za jion wana jf, Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu. Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa matumizi ya ndevu na kidevu kitandani; wanalalamika ninawachoma!

    Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo. Naomba msaada! Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa? Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu hii movie

    https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

    Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  17. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba bei elekezi ya Tagged

    Naomba bei elekezi ya Tagged kwa mkoa wa Dar es salaam Uzi tayari
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi weka fedha kwenye "Fixed account" naomba mnielimishe hapa

    Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu! Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri! Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo! Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…