Mkitoka Kanisani, Naomba Mtupe Elimu ya Hizi Alama

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Angalia kwa hao black deacons around the neck hizo alama tatu zina maana gani?.

IMG_20231001_073321.jpg
 
Walokole hamna tofauti na wale jamaa wanaotembea na CD na kuwasikilizisha watu mchana wa jua kali.
In other news.
Saint of the Day

Saint Jerome, pray for us.
Mwamba huyu hapa.. Lete vichwa kama mia 7 hivi vya akina masanja mkandamizaji na mashekh ndiyo unafikia nusu ya ubongo wake.
 

Attachments

  • 20231001_081352.jpg
    20231001_081352.jpg
    27.1 KB · Views: 2
Alafu mpigapicha yupo makini sana, shuguli ilikuwa ya muafrika na akatafuta angle walipo waafrika akafyatua button ya kamera, maua yake!.
Shughuli ilikua ya MHAYA. Kwa mara ya pili Wahaya tunanyanyua mashabiki Kwa kupata Kardinali
 
Tungekuwa watafiti kwa vitu vingine hivi zaidi ya umbea, tungekuwa mbali sana
 
Walokole hamna tofauti na wale jamaa wanaotembea na CD na kuwasikilizisha watu mchana wa jua kali.
In other news.
Saint of the Day

Saint Jerome, pray for us.
Mwamba huyu hapa.. Lete vichwa kama mia 7 hivi vya akina masanja mkandamizaji na mashekh ndiyo unafikia nusu ya ubongo wake.
Una uhakika mimi ni Mlokole? Unaweza kuthibitisha hilo?

Au unawashwa washwa?
 
Kama ni mtafiti wa alama twambie hiyo alama ya nyoka kwenye hospitali zote duniani zina maana gani View attachment 2768364
Mgomvi sana wewe 😄, hii ya kwenye nembo za hospitali ni sawa na ile ya nyoka wa shaba anauepatikana Maandiko ya Biblia kutoka kwenye kitabu cha Hesabu sura ya 21.

But kwa muda mrefu nyoka kwenye nembo za hospitali imekuwa ishara ya dawa, taaluma ya matibabu, ambapo inatokana na hadithi ya mfalme Asclepius aliyeshimika sana huko Ugiriki ya kale kama mungu wa uponyaji na ambaye ibada yake ilihusisha matumizi ya nyoka.


IMG_20231001_164155.jpg

Huyo jamaa ☝🏾aliheshimika sana ugiriki ya zamani hadi kumpa nafasi ya mungu wao, angalia fimbo aliyobeba.
 
Back
Top Bottom