Naomba support kwenye mradi wangu

Hassani Rusovu

New Member
Feb 18, 2020
4
10
Habari za wakati huu wana Jamii

Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji

Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya Green Energy, pamoja na usafi wa mazingira. Ambapo tutatumia taka (organic waste) kuweza kuzalisha Natural Gas (CNG) pamoja na Organic Fertilizer.

Nimeandaa project ila shida imekuja kwenye project funding bajeti yake inatake almost 6M Tsh, nimepata wadau wamenisuport 2,500,000/= bado kama 3,500,000/= hivyo naomba msaada wenu niweze kufanikisha hilii
nawepia unaweza kunisuport kwa kuchangia chochote ulichonacho. unaweza kuchangia kupitia

Airtel money 0695534017 HASSAN IDDI HASSAN
Au
NMB Account 51610029459 HASSANI IDDI HASSANI

Kuchangia ni chochote ulichonacho
Naombeni mnisaidie kushare pia
Asanteni
 
Hongera kwa mradi ila ujaeleweka hadi uweze kupata sapoti(kuaminika) kutokana na uhalisia ya janja janja nyingi na utapeli.
Asante mkuu kwa mrejesho wako

Hilo unalo ongelea nalijua mkuu maana kwa sasa ku gain trust kwa mtu from nowhere ni ngumu sana kutokana na wingi wa matukio mbalimbali ya kitapeli yanayo tokea.

Ni kwamba mradi unahusu uzalishaji wa Biogas kutumia taka zinazo oza, ambapo badae tunaichuja hiyo Biogas kuondoa chembe za maji pamoja na kupunguza gas zingine zinazo patikana ndani yake kubakisha Methane (CH4), hii ni Natural Gas ambayo tuta ifanyia Compression kwa kutumia mashine maalumu kupata Compressed Natural Gas (CNG). Lengo la kufanya compression ni kuongeza pressure tunapo ifanyia uhifadhi.

VITU VINAVYO HITAJIKA KATIKA HATUA ZA UZALISHAJI

  • Raw materials
  • Digester
  • Balloon za kukusanyia gas
  • Storage tank
  • Machine na vifaa vingine vya kusafishia gas
  • Compressing machine
UZALISHAJI

Katika hatua za uzalishaji wa gas kama nilivyo kwisha sema tutatumia taka zinazo oza (Organic Waste) ambazo zina zalishwa majumbani na mitaani kwetu, kinyesi cha wanyama, na taka za mashambani. Tutachukua taka hizo na kuziingiza ndani ya mtambo (Digestion Tank/ Digester), humo gas itazalishwa kupitia process ya kibaiolojia ambapo bacteria watafanya decomposition ya taka hizo in absence of Oxygen (Anaerobic Digestion).

Mabaki ya taka baada ya kufanyiwa digestion yatatolewa nje ya Digester na kufanyiwa processing ambapo tutapata mbolea (Organic Fertilizer) itakayo tumika mashambani. Baada ya gas kuzalishwa itakusanywa katika balloon na baadae kuwekwa katika storage tank baada ya ballon kujaa. Baada ya hapo mchakato wa kuichuja na kusaficha utafanyika na kuhifadhi tena katika matenki kabla ya kufanyia packaging.

Mradi huu una faida nyingi za kiuchumi na kimazingira kwa jamii nimejaribu kuelezea kwa ufupi tu, nadhani mpaka hapo utakua umesha anza kunielewa na kupata picha halisi ya mradi husika.
 
Ulichoandika nimekielewa mkuu
 
Mawazo mazuri, project hii inaweza kupata ufadhili mkubwa tu kutoka nje! Je Mradi huu unaufanya kama mtu binafsi, taasisi, au kikundi? Malengo ya muda mfupi na mrefu ya hii project ni nini? Nicheki inbox nitakushauri zaidi!
 
Asante mkuu kwa mrejesho wako

Hilo unalo ongelea nalijua mkuu maana kwa sasa ku gain trust kwa mtu from nowhere ni ngumu sana kutokana na wingi wa matukio mbalimbali ya kitapeli yanayo tokea.

Ni kwamba mradi unahusu uzalishaji wa Biogas kutumia taka zinazo oza, ambapo badae tunaichuja hiyo Biogas kuondoa chembe za maji pamoja na kupunguza gas zingine zinazo patikana ndani yake kubakisha Methane (CH4), hii ni Natural Gas ambayo tuta ifanyia Compression kwa kutumia mashine maalumu kupata Compressed Natural Gas (CNG). Lengo la kufanya compression ni kuongeza pressure tunapo ifanyia uhifadhi.

VITU VINAVYO HITAJIKA KATIKA HATUA ZA UZALISHAJI

  • Raw materials
  • Digester
  • Balloon za kukusanyia gas
  • Storage tank
  • Machine na vifaa vingine vya kusafishia gas
  • Compressing machine
UZALISHAJI

Katika hatua za uzalishaji wa gas kama nilivyo kwisha sema tutatumia taka zinazo oza (Organic Waste) ambazo zina zalishwa majumbani na mitaani kwetu, kinyesi cha wanyama, na taka za mashambani. Tutachukua taka hizo na kuziingiza ndani ya mtambo (Digestion Tank/ Digester), humo gas itazalishwa kupitia process ya kibaiolojia ambapo bacteria watafanya decomposition ya taka hizo in absence of Oxygen (Anaerobic Digestion).

Mabaki ya taka baada ya kufanyiwa digestion yatatolewa nje ya Digester na kufanyiwa processing ambapo tutapata mbolea (Organic Fertilizer) itakayo tumika mashambani. Baada ya gas kuzalishwa itakusanywa katika balloon na baadae kuwekwa katika storage tank baada ya ballon kujaa. Baada ya hapo mchakato wa kuichuja na kusaficha utafanyika na kuhifadhi tena katika matenki kabla ya kufanyia packaging.

Mradi huu una faida nyingi za kiuchumi na kimazingira kwa jamii nimejaribu kuelezea kwa ufupi tu, nadhani mpaka hapo utakua umesha anza kunielewa na kupata picha halisi ya mradi husika.

Mashine ulizotaja unazipatia wapi? Ndio cost yake 6M? Una business plan? Ina projections? Can you share the abstract? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom