Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
813
1,453
Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).

Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia.

Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia.

Kuangalia ios version unatakiwa kwenda kwenye Settings, kisha utabonyeza General, halafu utabonyeza About ( yaani Settings > General > About ).

Hapo utaona kipengele kimeandikwa Software Version / iOS Version au Version ikiwa na namba mbele yake mfano Software Version 15.0 ( Hio 15.0 ndio version yenyewe )

Natanguliza Shukrani 🙏

images (18).jpeg
 
Kurahisisha, ungeuliza hivi:
1. Wangapi wana iPhone XR kuja juu
2. Wangapi wana X kurudi nyuma.

Why?

Kwasababu kuanzia XR kuja juu zinapata iOS 17 wakati kuanzia X kurudi nyuma zinaishia 16.

NB: SE 2 na Xs zinapata 17

Kuna watu hawanaga habari na mambo ya iOS version na wanatumia iPhone.
 
mm naomba mnijuze jinsi ya kudownload video za youtube zenye high resolution mkuu nlkua natumia android nlkua natumia vidmate napata videos za 4K sas je uku kweny ios hakuna app ya kudownload videos za resolution tofaut wakuu
 
Wengi naamini wapo nyuma hasa version 15 na 16 kwenye 17 bado ni wachache

share hiyo app yako yenye version ya iOS yako tuone pengine ukapata msaada zaidi wa namna ya kuiboresha kuliko ufanye kwanza research

Japo naamini bado hujavumbua yako na hata kama ulipaswa ujitofautishe na iOS na Android uje na mfumo wako ikiwezekana uwe juu ya 17 au zaidi mno ili hata wao () wenyewe wakiri mfumo wao umevamiwa kama sio kudukuliwa!
 
Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).

Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia.

Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia.

Kuangalia ios version unatakiwa kwenda kwenye Settings, kisha utabonyeza General, halafu utabonyeza About ( yaani Settings > General > About ).

Hapo utaona kipengele kimeandikwa Software Version / iOS Version au Version ikiwa na namba mbele yake mfano Software Version 15.0 ( Hio 15.0 ndio version yenyewe )

Natanguliza Shukrani 🙏

View attachment 2771083
Mimi ningekutajia, ila sina iPhone mkuu.
 
Back
Top Bottom