figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.
Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.
Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.
Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.
Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.
Pia soma;
Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika
Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu