naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima, naomba msaada nisiaibike

    Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi nasubiria kuvuna hii February Kati ya hekari 6 za mpunga heka 4 na 1/2 nimeotesha vizuri na ekari 1 na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu yanahitajika kwenye hili Wazee

    Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini. Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto. Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
  6. JamiiForums Tanzania Napenda kuendesha mabasi ya mkoani, nifanyeje?

    Wakuu natumai mko poa, Kuna jambo naomba mnipe muongozo tafadhali. Nimekuwa napenda Sana kwa siku nyingi kusukuma haya mabasi ya mikoani. Napenda sana kusukuma hizo chombo, naombeni muongozo nianzie wapi mpaka kufikia hatua ya kukabidhiwa chuma la mafasa marefu.
  7. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

    Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani. Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere. I beg you by five books of...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaojua kuhusu hili naomba kujuzwa (YouTube)

    Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii?? Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba majibu

    Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu tu, je pep TLD inaweza kuwa na madhara yepi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wakubadili tin number kutoka non businesses kwenda business

    Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hiki ni nini?

    Naomba kujua hiki ni nini nimekuta kwenye begi la mpenzi wangu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kihalisia

    Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara. Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo haitonisumbua hasa kwa mafuta kati ya Primio cc 1490 na Ist cc1490.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa

    Shule zote zinautaratibu wa kupanga awamu za kulipa ada,mf miezi 3,4au6 unaambiwa ada ya mwaka ni kiasi fulani yani hapo washasisitiza ada ni ya mwaka yani yani miezi12,sasa ktk ada hiyo wanayosema mbona hawasemi tutakuwa na likizo wastani siku60+ambayo wangepunguza ada ya siku hizo za mapumziko?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi Fulani inayoshughulikia masuala ya Sheria, ninafamilia na ninazaidi ya miaka Zaidi ya Kumi kazini. Kielimu Mimi ni wamadarasa 11, haina yangu Ni mpole na mwenye huruma sana na nisiyependa utani kwa kuwa huwa mwepesi kukwazika. Katika maisha yangu ya Kazini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jambo

    Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu "kunde" aina ya ngwara

    1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20? 2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani? 🙏🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…