Wakuu Habari za muda huu?
Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja.
Nilitaka kuweka glue wallpaper hizi kwenye kuta za nyumba yangu sebuleni na chumbani, lakini nikakutana na ushauri wa hii kitu inaitwa Liquid wallpaper, kwakuwa sikuwa naifahamu nikaisearch nikakuta kweli picha zipo, na kuna...