nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sakata la mfanyabiashara Shamy kulikimbia Jiji la Dar: Nani alaumiwe?

    Alaumiwe nani? 1. Shamy? 2. Kampuni ya Shamy? 3. Kampuni iliyoingia naye mkataba? 4. Afande Muliro? 5. Mtu "mkubwa"? Lawama zielekezwe kwa nani?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

    Hizi za Aina hii zinanitesa Sana Mimi? Nifanye Nini ili ziweze kuniachia, Mara kadhaa kwa miaka kadhaa Sasa nasumbuliwa na hizi ndoto za kufanya mapenzi usingizini Mimi siangalii video za porn Mimi siongelei Mambo ya ngono Ila nashindwa kuelewa hii Hali naichukia Sana ,nifanye Nini jamani?
  3. JamiiForums Tanzania Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa. Kama sio simba iliyo...
  4. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye haki ya mirathi katika familia?

    Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi. Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote alizokuwa nazo huyo mama kawarithisha wanawe, yaani mume mtu kaambulia pangu pakavu. Kumetokea mvutano wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

    ... 🔖 𝙉𝘼𝙉𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 ? Baada ya ushindi wa Simba (6-0) dhidi ya Jwaneng nimeona mijadala mitandaoni watu wakibishana nani zaidi kati ya Chama na Pacome ?! Nami nimeona nisipitwe na mjadala huu. Kama kawaida yangu huwa naongea na takwimu kisha nawaachia mchambue wenyewe kama hivi ; 𝘾𝙃𝘼𝙈𝘼...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

    Wadau, Naomba mawazo yenu wadau, Mimi ninabishara ya Real Estate na Logistics. Sababu niliwekeza sana kwenye advertisements, Hizi Kampuni zangu zimekuwa maarufu sana kiasi kwamba sasa siwatafuti wateja ila wateja wananitafuta mimi kila siku ili kupata huduma na bidhaa zangu. Sasa kimbembe ni...
  9. JamiiForums Tanzania All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one. Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane...
  10. JamiiForums Tanzania Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

    Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja. Kabla ya jana, nilioneshwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Luis Josee Miquissone na Emmanuel Anold Okwi kwenye ubora wao unaenda nani?

    Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
  12. JamiiForums Tanzania Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

    Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu. Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa . Aisee.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Salaam,Shalom!! Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi mkubwa serikalini na kutupwa mbali. Kuwa tajiri Kwa halali Si DHAMBI, Hilo liwekwe wazi. Na mada...
  14. JamiiForums Tanzania Battle: Pacome Zouzoua vs Aziz Ki nani ni engine ya Yanga?

    Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo. Karibuni kwa mawazo wana JF.
  15. JamiiForums Tanzania Nani aliyesema kila Pilau linakuwa na Viazi?

    Nani aliweka Standard ya vitu hivi -Pilau lazima liwe na Viazi -Supu na chapati mbili -Chips na Mayai mawili? Mdau ongezea Kingine.
  16. JamiiForums Tanzania EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  17. B

    JamiiForums Tanzania Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
  18. JamiiForums Tanzania Rais kutumia ndege ya abiria badala ya ndege yake binafsi, nani mshauri wake?

    Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia. Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado. Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
  19. JamiiForums Tanzania Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja

    Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu Sasa katengeneza ni ni hapo
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya Bear Grylls na Ed Stafford nani Survivalist zaidi?

    Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi. Wote wana historia ya kupitia jeshini (wanajeshi wastaafu huku bear grylls akiwa na medani ya heshima ya malkia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…