All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.

Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!

Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
 
Wazo zuri sana tupate kuona uhalisia wa wale tunaowadhania ndio kumbe sio.

Ikatokea kukawa na haja kila mtu aje na ID yake, kuna viumbe humu itabidi vijigawe. Maana humu kuna njemba zinachat kama mademu, kuna walimwengu wanamiliki ID mpaka 5 na zote zipo active. Kuna mpaka couples humu ambazo ni mtu mmoja. Jamaa anamiliki account ya demu na mwanaume halafu hizo account zina date.
 
Back
Top Bottom