Kati ya Luis Josee Miquissone na Emmanuel Anold Okwi kwenye ubora wao unaenda nani?

Jan 31, 2024
42
119
Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
 
Okwi? Hakuna mchezaji current mwingine wa Comparison?

Kwa Okwi unaturudisha nyuma sana..!

Ujue kuna Wachambuzi wengine kwa media zetu za sasa hawamjui Okwi?
 
D
Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣
Dah yanga mlikua mnateseka sana tukicheza hii michuano nyie hampo
Just imagine sahv hata hatujatoka bado kelele kibao

Anyway standards zetu ni kubwa sisi tunajifariji tukiwa bado kwenye mashindano

Nyinyi mlijifariji mkiwa nje ya mashindano😁
 
Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣

Ahmed Ally Kachafua hali ya hewa hukoo


Anadai Maji maji ilishushwa daraja na Wao, eti Ramani ya Simba ndo inayotumika...! Kama South Africa Ramani aliyoichora Mamelod inavyowaamsha Wakongwe

Yanga wote Wamemshupalia Atengue Kauli.....ndo Habari ya mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom