Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Wadau,
Naomba mawazo yenu wadau,
Mimi ninabishara ya Real Estate na Logistics. Sababu niliwekeza sana kwenye advertisements, Hizi Kampuni zangu zimekuwa maarufu sana kiasi kwamba sasa siwatafuti wateja ila wateja wananitafuta mimi kila siku ili kupata huduma na bidhaa zangu.

Sasa kimbembe ni pale wakisharidhika na kukubali kufanya malipo....wanapotea mazima....hii imetokea zaidi ya mara 100 mpaka sasa nimeshazoea.

Sasa nimefikiria sana nitafute msaada labda kwa watu wa Mungu au nipeni mawazo nifanyaje

NB: Nimeshazunguka kwa manabii, waganga wengi sana bila mafanikio,Hata huko Tanga Handeni wanakokusifia nimefika kwa waganga maarufu wawili nao wamechemsha hii kesi.

Nafikiri waganga wa Tanga wanachoweza ni kuroga, na ishu za kijamii kama vile kurudisha mke,mme,nk na siyo biashara halali kama zangu.

Naombeni mawazo yenu GTs
 
Wadau
Naomba mawazo yenu wadau
Mimi ninabishara ya Real Estate na Logistics. Sababu niliwekeza sana kwenye advertisements,Hizi Kampuni zangu zimekuwa maarufu sana kiasi kwamba sasa siwatafuti wateja ila wateja wananitafuta mimi kila siku ili kupata huduma na bidhaa zangu. Sasa kimbembe ni pale wakisharidhika na kukubali kufanya malipo....wanapotea mazima....hii imetokea zaidi ya mara 100 mpaka sasa nimeshazoea.
Sasa nimefikiria sana nitafute msaada labda kwa watu wa Mungu au nipeni mawazo nifanyaje
NB: Nimeshazunguka kwa manabii, waganga wengi sana bila mafanikio,Hata huko Tanga Handeni wanakokusifia nimefika kwa waganga maarufu wawili nao wamechemsha hii kesi .Nafikiri waganga wa Tanga wanachoweza ni kuroga, na ishu za kijamii kama vile kurudisha mke,mme,nk na siyo biashara halali kama zangu
Naombeni mawazo yenu GTs
Nenda Tanga mazinde kuna sehemu wanaita TORONTO ulizia mafundi.
 
Suluhu yake ni ndogo sana mpendwa, unahitaji ukombozi wa biashara yako kupitia damu Ya Yesu, achana na waganga, na manabii hao wa mafuta maana hao wote baba yao ni shetani, shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake, njoo inbox nikuelekeze kwa mchungaji ukaombewe ,Acha kupoteza pesa zako!!
Sasa kumuelekeza kwa mchungaji akaombewe ndio hadi aje inbox?
Anyway, nahisi harufu ya uhuni hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom