namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 8: Mohamed Hija Mohamed achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 7: Mohamed Jaffar Jumanne achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lisa Jensen, aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili 2006?

    Huyu mwanadada yuko wapi? Binafsi nampenda sana huyu mrembo... Kipindi anashiriki hili taji na kushinda nafasi ya pili, bado nilikuwa shule DIT nilimtamani sana sema tu sikuwa na mavumba kipindi kile. Mwaka 2012, Nilibahatika kukutana nae kwenye party ya usiku Melia Hotel, Kiwengwa -...
  4. VPN USED2020OCTOBER28

    JamiiForums Tanzania Nawezaje zipata namba za simu nilizohifadhi (save) kwenye yahoo? msaada please

    nilihifadhi namba za jamaa na ndugu kwenye option ya save via yahoo!! sasa simu niliibiwa, nowa nipo kwenye account yangu ya yahoo... nimetafuta option ya kuona namba nilizokuwa nasave kwa yahoo sijafanikiwa, please msaada
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake na jamaa ni mbahili pia.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap awe anaendea salon na sokoni.baadaye akaja akawa anataka Crown "Toyota" so haka kakabaki hakana kazi. Kiukweli gari ipo...
  7. Mkogoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Mwanaume aliyebeba gitaa ana uwezekano mkubwa wa kupata namba kutoka kwa mwanamke

    ======= Guys Get More Dates With a Guitar by Kurian M. Tharakan Nicholas Guéguen is a professor of psychology at université de Bretagne Sud in France. In 2013, he published a paper describing an experiment where a male...
  8. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kukumbushia kunakili namba ya usaili

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawataarifu Wasailiwa wote walioorodheshwa katika tangazo lililotolewa tarehe 29 Mei, 2020 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/K/208 linaonyesha Usaili unatarajiwa kuanza tarehe 06 hadi 17 Juni, 2020. Ambao nafasi za kazi walizoomba zimeoneshwa kuwa watafanya...
  9. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

    Wakuu, Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu fulani au kutoona content kutoka forum fulani au contents za thread fulani tu. Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo. ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote...
  10. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Gazeti la reli na matukio toleo namba 7

    Unaweza kusoma au kupakua Gazeti hili kupitia kiungo hiki Mwanzo | TRC
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi ninawezaje kujua mita namba ya DAWASCO kama zina bill utility?

    Nimehamia nyumba mpya sasa jana Dawasco wamekuja kukata maji wakidai kuwa sijalipa, nikawambia kuwa sikupokea bill, wakaitaarifu kuwa ntificaton atakuwa alikuwa anazipokea jamaa aliyekuwa anaishi hapa kabla, so wakaniandikia namba ya mita kwenye karatasi then wakaondoka na kunisistiza nilipe...
  12. Ngareroo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana katumia namba ngeni kumtega jamaa'ake na jamaa kajaa

    Wasalaam wadau wa humu, sina mengi Leo naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni. Kuna chaliangu ana mpenzi wake saiv wana miaka miwili katika mahusiano na wanaaminiana sana. Sasa Jana dem kamtumia text jamaa ake kwa namba mpya na kumtamkia kuwa anataka waonane amuelezee kuwa anampenda...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

  14. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yaondoa rasmi kukaa karantini kwa wageni wanaoingia nchini

    .
  15. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

    JE TANZANIA INAFICHA VIFO Hii ni habari kwenye kurasa za Aljazeera ambapo watanzania kadha wamehojiwa. Kipengere hiki ndio kinashtua, kama ilala tuu tarehe 27th kwenye daftari la mazishi ya waliokufa kwa corona ilikua zaidi 256, basi hali ni mbaya. Article naiweka kama ilivyo kwa kingereza...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita...
  17. Hackboy

    JamiiForums Tanzania Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Habari wa JamiiFirums, Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu. Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ubora katika jezi namba 1

    Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti James Mbatia msaidie Mwanachama wako mwenye kadi namba moja Mabere Marando arudi nyumbani huko ugenini anapata tabu

    Mabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za mageuzi hapa nchini akiwa na wenzako akina Bagenda, Ole Sirikwa,Komu, n.k Huyu Mbabe wa siasa za...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
Back
Top Bottom